VPL LIGI YA TANZANIA KUSITISWA KWA MUDA - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 3 October 2017

VPL LIGI YA TANZANIA KUSITISWA KWA MUDA


VODACOM-LIGI-KUULigi kuu Tanzania bara imesimamishwa kwa mda kupisha michezo iliyoko kwenye kalenda ya shirikisho la kabumbu ulimwenguni kufanyika.

Michezo hiyo inatarijiwa kufanyika juma hili ambapo itatoa furusa kwa zile timu za mataifa mbalimbali ambazo zipo chini ya usimamizi wa shirikisgo hilo kushiriki michezo tofautitofauti ikiwemo ile ya kirafiki.

Hata hivyo shirikisho hilo huitumia michezo hiyo kutambua uwezo na ubora watimu mbalimbali hivyo kulisaidia kuweza kuzipanga kulingana na ubara wa timu husika.


Tanzania ikiwa mmoja wa wanachama wa shirikisho hilo itashuka dimbani kumenyana na malawi siku ya Jumamosi ya tarehe 07.10.2017 wakati ambapo majirani zetu Kenya wao watamenyana na Thailand siku ya Jumapili tarehe 08.10.2017


Hata hivyo Ligi kuu itaendelea tare 13.10.2017 ikiwa ni baada ya kumalizika kwa wiki ya FIFA ambapo klabu mbalimbali zitarejea dimbani kupambana kumsaka mwali wa ligi kuu Tanzania.

Ratiba ya michezo hiyo itakua kama ifuatavyo:-

LIGI KUU TANZANIA RAUNDI YA 6
13.10.2017 Mbao FC vs Mbeya City FC
14.10.2017 Ndanda FC vs Majimaji FC
14.10.2017Ruvu Shooting vs Singida United
14.10.201 Kagera Sugar bmvs Yanga Sc
14.10.2017 Mwadui FC vs Azam FC
14.10.2017 Njonbe Mji FC vs Lipuli
15.10.2017 Simba Sc vs Mtibwa Sugar
15.10.2017 Tanzania prisons Fc vs Stand United.
NB: Michezo yote itachezwa majira ya saa 16:00 yaani saa kumi.Subscribe blog yetu na kulike facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika popote ulipo Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment