TOTTENHAM WAIMINYA LIVERPOOL 4-1 - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 22 October 2017

TOTTENHAM WAIMINYA LIVERPOOL 4-1
Tottenham imeichapa Liverpool kwa mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu England kwenye Uwanja wa Wembley jijini London.

Harry Kane amefunga mabao mawili huku mengine yakifungwa na pacha wake wawili, Dele Alli na Heung-Min Son.

Bao pekee la Liverpool ambayo imekuwa na mwendo wa kusua, limefungwa na Mohamed Salah.

VIKOSI:
Tottenham: Lloris, Alderweireld, Sanchez, Vertonghen, Trippier, Alli, Winks, Aurier, Eriksen, Son, Kane
Subs: Rose,Vorm, Nkoudou, Dier, Sissoko, Llorente, Davies

Liverpool: Mignolet, Gomez, Matip, Lovren, Moreno, Milner, Henderson, Can, Coutinho, Firmino, Salah
Subs: Karius, Sturridge, Grujic, Klavan, Oxlade-Chamberlain, Solanke, Alexander-Arnold

Referee: Andre Marriner (West Midlands)
 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment