MCHEZAJI RICARDO CARVALHO KUIONJA JELA MIEZI SABA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 7 October 2017

MCHEZAJI RICARDO CARVALHO KUIONJA JELA MIEZI SABA

Image result for Ricardo Carvalho

Beki wa zamani wa Chelsea na Real Madrid, Ricardo Carvalho amehukumiwa kwenda jela miezi saba.

Carvalho ameonekana alikwepa kodi na kuhukumiwa kwenda jela miezi sana nchini Hispania.

Beki huyo aliyeichezea Chelsea na pia mechi 89 timu yake ya taifa ya Ureno, anaonekana atafanya kila linalowezekana kukata rufaa.

Hispania imekuwa nchi inayoonyesha kutotaka utani katika suala la ulipaji kodi.

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI