RATIBA MECHI LIGI KUU BARA WEEK HII - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Friday, 29 September 2017

RATIBA MECHI LIGI KUU BARA WEEK HIILigi Kuu Tanzania inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi siku ya kesho kwa viwanja sita ambapo bingwa wa kombe la shirikisho ASF, Simba Sc anatarajiwa kushuka dimbani kumenyana na wapiga debe wa mji wa shinyanga.

Na Hii Hapa Ni Ratiba Kamili.
16:00 Majimaji vs Kagera Sugar
16:00 Mbao vs Tanzania Prisons
16:00 Ndanda vs Lipuli
16:00 Ruvu Shooting vs Njombe Mji
16:00 Stand United vs Simba
19:00 Azam vs Singida United

Hata hivyo ligi hiyo itaendelea tena katika siku ya Jumapili ambayo hii itakua ni October mosi kwa viwanja viwili pekee kushudiwa nyasi zake zikipata taabu.
16:00 Mwadui vs Mbeya City
16:00 Young Africans vs Mtibwa Sugarlike facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment