MSUVA AZIDI KUVUNJA REKODI MOROCCO - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

Tuesday, 12 September 2017

MSUVA AZIDI KUVUNJA REKODI MOROCCO


 Mshambuliaji wa Timu ya Difaa al Jadida ya Morocco ambaye ni raia wa Tanzania, Saimoni Msuva ameibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora ya mwezi wa Agosti ndani ya klabu hiyo.
Msuva aliyejiunga na timu hiyo mapema mwezi Agosti baada ya kuuzwa na mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC , aliingia katika kinyang'anyiro cha tuzo hizo sambamba na mchezaji mwenzake kiungo mkabaji Said Mohamedi.

Baada ya kura zilizopigwa na wanachama wa klabu hiyo Msuva ameibuka kidedea kwa kura 268 na kumuacha mwenzake akipata kura 129.like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika

For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI