KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOTANGAZWA LEO - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 23 September 2017

KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOTANGAZWA LEO


Kocha mkuu wa Timu Ya Taifa Ya Tanzania Asubuhi Hii Ametangaza Kikosi Kitachocheza Mchezo Wa Kirafiki Uliko Kwenye Kalenda Ya FIFA Mwezi Oktoba Mwaka Huu.
Kikosi Hicho Kinachoongozwa Na Nahodha Mbwana Samatta Kina jumuisha wachezaji 21 Pamoja na Benchi La Ufundi.

Wachezaji hao ni:
Walinda Mlango
Aishi Manula
Peter Manyika
Ramadhani Kabwili

Walinzi
Boniphas Maganga
Abdi Banda
Gadiel Michael
Kelvin Yondan
Salim Mbonde
Erasto Nyoni
Adeyuni Salehe Armed

Viungo
Himid Mao
Hamis Abdallah
Mzamiru Yassin
Raphael Daud
Simon Msuva
Ahiza Kichuya
Ibrahim Ajib
Morel Ergenes
Abdul Hilal Hasan

Washambuliaji

Mbwana Samatta
Mbaraka Yusuph.


For Booking>>>CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
No comments:

Post a Comment