TAMBWE,AJIBU NA NGOMA WATAANZA KUTOA DOZI KWA SIMBA MAPEMAA - EDUSPORTSTZ

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 15 August 2017

TAMBWE,AJIBU NA NGOMA WATAANZA KUTOA DOZI KWA SIMBA MAPEMAA


Wachezaji watatu Donald Ngoma, Ibrahim Ajibu na Amissi Tambwe wataanza katika mechi dhidi ya Simba.

Katika mazoezi ya Yanga mjini hapa, Kocha George Lwandamina amekuwa akiwapanga mara kadhaa kuhakikisha watengeneza umoja unaozalisha.

Hali hiyo inaonyesha washambulizi hao watatu wa aina tofauti, wataanza katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, wikiendi hii.

Yanga ipo kambini mjini Pemba kujiandaa na mechi hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini.

No comments:

Post a Comment