SWANSEA KULA KICHAPO CHA ADABU TOKA MAN U - EDUSPORTSTZ

Latest

SWANSEA KULA KICHAPO CHA ADABU TOKA MAN U


Paul Pogba (kushoto) na Eric Bailly wote waliifungia Manchester United

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho, anasema kuwa "aliachia farasi kukimbia watakavyo," baada ya kikosi chake kuinyeshea magoli 4-0 Swansea na kuanza msimu kwa ushindi.

"Kulikuwa na furaha kwenye mchezo wetu, alisema Mourinho.

"Nilihisi kudhibiti hali, kama ulikuwa na wakati kuweza kunitazama mimi na mwili 

Baada ya kuwa na wakati mgumu kuvunja safu ya nyuma ya Swansea, United walifanikiwa kufungua mlango baada ya dakika 80, wakati Romelu Lukaku alifunga bao lake la tatu kwenye mechi mbili.

"Swansea walitumia wachezaji watano nyuma na wakafika kipindi walijua wangefanya mabadiliko, na wakati walaifanya hivyo, tukawa na nafasi zaidi tukacheza vizuri." aliongeza Mourinho.Martial aliifungua United bao na nne


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz