ROONEY AITOA KIMASOMASO EVERTON - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 12 August 2017

ROONEY AITOA KIMASOMASO EVERTON
Wayne Rooney ameingoza Everton kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stoke City.
Ikiwa ni mara ya kwanza Rooney akiichezea Everton tena katika Ligi Kuu England, safari hii chini ya udhamini wa SportPesa, alifunga bao hilo katika dakika ya 45.

Everton ilikwenda mapumziko ikiwa inaongoza na bao hilo moja na mwisho wa dakika 45 nyingine matokeo hayakuwa yamebadilika.

Kama unakumbuka sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu England, Everton walifanya wakiwa nchini Tanzania.

Everton (3-5-2): Pickford 6.5; Keane 7, Jagielka 7, Williams 5.5 (Martina 45 6); Calvert-Lewin 6.5, Schneiderlin 7 Gueye 7.5, Klaasen 6 (Davies 60 6), Baines 6; Rooney 7, Ramirez 6.5 (Mirallas 77 6)
Subs unused: Stekelenburg (Gk), Besic, Holgate, Lookman
Goal: Rooney 45
Booked: Martina
Stoke City (3-4-3): Butland 7; Cameron 7, Shawcross 6.5, Zouma 7; Diouf 6.5, Fletcher 6, Allen 6, Pieters 6.5; Shaqiri 6, Berahino 6 (Chouplo-Moting 72 6.5), Bojan 5.5 (Crouch 72 6)
Subs unused: Grant, Johnson, Tymon, Adam, Sobhi
Booked: Allen
Referee: Neil Swarbrick 7

Attendance: 39,045


No comments:

Post a Comment