CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 15 August 2017

CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO
Ronaldo akipigwa kadi nyekundu.Staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefungiwa kutocheza mechi tano kutokana na kumsukuma mwamuzi katika mchezo dhidi ya Barcelona, jana usiku.

Shirikisho la Soka la Hispania limemfungia Ronaldo michezo mitano huku moja kati ya mchezo huo ni fainali ya pili ya Super Cup dhidi ya Barcelona.
Akimsukuma refa.

Michezo mingine utakuwa dhidi ya Deportivo, dhidi ya Valencia dhidi ya Levante na wa mwisho utakuwa dhidi ya timu ya Real Sociedad na atarudo mwezi wa 9 kwenye mchezo dhidi ya Real Betis.


Akisikitika.Mechi 5 ambazo Ronaldo atazikosa;

Barcelona- 16 Agosti

Deportivo- 20 Agosti

Valencia- 27 Agosti

Levante- 9 Septemba

Real Sociedad- 17 Septemba

No comments:

Post a Comment