UMESIKIA HII:Simba, Yanga na Azam kukutana katika michuano hii kabla ya Ligi kuu kuanza kutimua vumbi - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 15 July 2017

UMESIKIA HII:Simba, Yanga na Azam kukutana katika michuano hii kabla ya Ligi kuu kuanza kutimua vumbiKlabu ya As kigari imezitumia klabu kubwa Afrika kama Wydad Casablanca,TP Mazembe,As Vita Club
na nyingine kadha wa kadha katika mashindano ya Majiji yaani " Intet-Cities Tournament"

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi ujao ambapo pia itazikutanisha klabu nne kutoka katika ligi kuu nchini Rwanda.

Mmoja wa viongozi wa klabu ya As Kigali "Nshimiye Joseph" amesema kua "pre season imeanza na inatarajiwa kua nzuri kama tulivyo tarajia,tupo katika hatua za mwisho za maandalizi ya michuano ya As Kigali Inter-Cities na katika kulifanikisha hilo tumeangalia timu zilizotwaa ubingwa katika miji watokayo na nyinginge zilizokua kwa kasi katika miji yao."

Ni michuano itakayo dumu kwa takribani majuma mawili na baada ya michuano hiyo klabu itaendelea na utaratibu wa kawaida wa preseeson kama ilivyokua .

Katika michuano hiyo zitashuhudiwa klabu nane tofauti zitamenya,katika timu hizo ni pamoja na klabu za As Vita Club na Tp Mazembe za Democratic republic of Congo, Yanga,Simba na Azam za Tanzania,El merrekh ya sudani,Gir Mahia ya Kenyana Wydad Casablanca ya Morocco.

No comments:

Post a Comment