BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 24 July 2017

MAN U KUIGARAGAZA KIFO CHA MENDE MADRID

https://edusportstz.blogspot.com/

IonTimu hizi zitakutana katika mchezo wa super cup Agosti 8

Manchester United wameifunga Real Madrid kwa mikwaju ya penalti baada ya kumaliza dakika 90 kwa sare ya goli 1-1.

Anthony Martial alitumia juhudi binafsi na kumtengenezea pande Jesse Lingard na kuandika goli la kwanza.

Casemiro aliisawazishia Madrid kwa njia ya penalti baada ya mlinzi mpya wa United Victor Lindelof kumuangusha Theo Hernandez katika eneo la hatari.

Penalti saba kati ya kumi hazikuingia nyavuni.Casemiro alikosa mkwaju wa penalti kwa kugonga mwamba wa juu

Haukuwa usiku mzuri kwa Lindelof ambaye aliendeleza makosa yake na kukosa mkwaju wa penalti.

United wameshinda michezo yote minne katika ziara nchini Marekani na watakutana na Barcelona katika fainali siku ya Jumatano.

No comments:

Post a Comment