Timu ya Arsenal imeendeleza ushindi katika mechi zake za kirafiki, wakiifunga
Western Sydney Wanderers 3 - 1.
Mabao ya Arsenal yaliwekwa kambani na Oliver Giroud (33), Ramsey (37) na Elneny (44) wakati bao la Western Sydney Wanderers limefungwa na Lustica (57).
No comments:
Post a Comment