HomeSports MWANASOKA BORA WA LIGI KUU BARA 2016-17 bymafekeche -Thursday, May 25, 2017 0 Mohammed Hussein Zimbwe amechaguliwa kuwa mchezaji bora msimu wa 2016-17 wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Zimbwe amebeba tuzo hiyo baada ya kuwashinda Aishi Manula, kipa wa Azam FC na kiungo mwenye kasi wa Yanga, Simon Msuva.
Post a Comment