Michezo, Matokeo, ajira, Livescore,msimamo wa ligi
Hazard apata tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwaka Chelsea
bymafekeche-
0
Bao la msimu: Eden Hazard Mchezaji wa mwaka wa wachezaji: N'Golo Kante Mchezaji wa mwaka (wanawake): Karen Carney Mchezaji bora wa Akademi: Mason Mount Mchezaji bora wa mwaka: Eden Hazard Utambuzi maalum kwa kazi bora: John Terry
Post a Comment