Barua ya Simba iliyoenda FIFA kuhusu TFF - EDUSPORTSTZ | Habari za Ajira, Mapenzi, Michezo, Elimu, Kilimo, Technology, Siasa na Mziki,

BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 21 May 2017

Barua ya Simba iliyoenda FIFA kuhusu TFF
Siku moja baada ya Ligi Kuu Tanzania bara kumalizika kwa Yanga kutwaa taji hilo wakati ikiripotiwa kuwa shirikisho la soka Tanzania TFF haijapokea barua ya Simba inayodai kupelekwa kwa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA ya madai ya kutotendewa haki kuhusu point 3 vs Kagera.
Leo May 21 2017 kupitia mitandao ya kijamii barua ya Simba iliyopelekwa kwa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA imeenea katika mitandao ya kijamii na ndani yake ikieleza kuikumbusha FIFA kumbukumbu namba ya document zao walizozituma kupitia DHL.

No comments:

Post a Comment