SERENGETI BOYS KUSHUKA DIMBANI TENA LEO - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 30 April 2017

SERENGETI BOYS KUSHUKA DIMBANI TENA LEOTimu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 leo itakua na kibarua cha kumenyana na timu ya taifa ya Cameroon ya vijana katika mchezo utakao chezwa mjini Yaoundé
Cameroon,mchezo huo unatarajiwa kuchezwa 8:00 PM kwa majira ya Afrika ya Mashariki,pia mchezo huo ni kati ya michezo ya kukipima uwezo kikosi hicho cha vijana hao kuelea katika michano ya AFCON ya vijana mwaka huu huko Gabon.


Serengeti boys inakwenda kwenye mchezo huo ikiwa na kumbukumbuya kupata ushindi mara mbili mfurulizo kwa kuwaadhibu wenyeji wa michuano ya AFCON timu ya taufa ya Gabon 


Vyankende.com inawatakia Serengeti boys maandalizi mema na mafanikio mema katika safari yake ya AFCON U17 2017.....