Kwa muda mrefu, kipande cha ardhi kilichokuwa kwenye kijiji chetu kilihesabiwa kama laana tupu. Waliojaribu kujenga hapo walipatwa na janga la kutatanisha, magonjwa ya ghafla, au kufilisika bila maelezo.
Watu walikiita “shamba la machozi.” Baadhi walidai waliwaona watu wa ajabu usiku, wengine walihisi nguvu za giza kila walipojaribu kufanya shughuli yoyote. Sikuamini mambo....SOMA ZAIDI
Post a Comment