Jina langu ni Sam, nilioana na mke wangu kwa miaka sita iliyopita na tukazaa mtoto mmoja wa kiume ambaye alibadilisha maisha yetu kwa kiasi kikubwa, huku akidumisha furaha na upendo katika ndoa yetu.
Ndani ya familia yetu, baada ya miaka mingi ya kusumbuliwa na wasichana wa kazi, tuliamua kujaribu kuwa na mvulana wa kazi kwa sababu wasichana ambao tuliwaleta kila mara walikuwa wakitoroka nyumbani kwetu siku chache baada ya kuanza kazi.
Ufanyaji kazi wa wavulana tuliowaleta, haukuwa mbaya, wengi wao walikuwa watiifu na wachapakazi, hivyo tuliamua kufanya nao kazi kwa muda mrefu ndani ya nyumbani yetu.
Siku zote mimi na mke wangu tulikuwa tukienda kazini kwetu asubuhi na kurejea usiku, kwa hiyo tulihitaji mtu wa kukaa nyumbani na mtoto wetu.
Kuna kipindi tulipata mvulana...SOMA ZAIDI
Post a Comment