Jinsi Jini la kike lilivyonisumbua! - EDUSPORTSTZ

Latest

Jinsi Jini la kike lilivyonisumbua!

Jinsi Jini la kike lilivyonisumbua!

Jinsi Jini la kike lilivyonisumbua!


Jina langu ni Abdul kutokea Kigoma, Tanzania, nikiwa darasa la tano nilitokewa na jini la kike bafuni nikiwa naoga, basi kuanzia hapo mauzauza yakaanza kuwa mengi katika maisha yangu.

Yaani nikitoka kwenda chooni usiku naona moto unanifuata, nikikimbia unanikimbiza, kuna siku nilienda dukani mida ya saa tatu usiku wakati narudi nyumbani nilihisi kuna mtu ananifuata nyuma yangu nilipotaka kugeuka nyuma shigo ilikaza.

Yani nilishindwa kugeuka, nilipotaka kukimbia miguu haikusogea basi nikabaki nimeganda, yaani mwili umetulia vile vile akili tu ndo inafanya kazi.

Nilisoma qur-an kimoyomoyo ile hali ikanitoka, nikatoka mbio kwenda nyumbani lakini mambo hayakuishia hapo bado, nikilala usiku najikuta nipo uvunguni, yaani ilimradi ni mauzauza tu.

Nilipofika chuo yakaanza tena, nilianza kuumwa umwa mara mikono inakufa ganzi hata nusu saa haifanyi kazi, mara naota ndoto za ajabu ajabu ili tu nikose amani.

Siku moja mida ya saa moja na nusu usiku nilikuwa naongea na simu na mdogo wangu mara nikahisi joto ghafla upepo mkali mwili ulianza kutetemeka nilitoka mbio hadi hostel.

Nikaingia chumbani nikapanda kitandani nikachukua msahafu nikaufunua kabla sijaanza kusoma mlango ulisukumwa akaingia mtu nisiyemfahamu ni wa kike aliniangalia sana yani kama anahasira halafu akatoka nje.

Hali ile iliendelea kwa muda mrefu, nikapiga simu nyumbani kuwaeleza jambo hilo, ndipo babu yangu alinipeleka kwa mataalam mmoja wa tiba asilia, Kiwanga Doctors na kuweza kunifanyia dawa.

Tangu wakati huo yale mambo yakawa wameisha, sikusumbuliwa tena na yule jini, maisha yangu yakaanza kuwa na nuru, asante sana Kiwanga Doctors.

Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.

Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.

Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.

Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.

Mwisho.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz