Taarifa Mpya kutoka Simba ni kuhusu Aishi Manula - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kutoka Simba ni kuhusu Aishi Manula

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mlinda lango namba moja wa Simba Aishi Manula alirejea kikosini wiki iliyopita akianza na mazoezi mepesi


Katika taarifa iliyotolewa na Simba, Manula anatarajiwa kufanya mazoezi kwa kipindi cha wiki kabla ya kurejea rasmi uwanjani


Manula alikuwa nje ya uwanja tangu mwisho mwa msimu uliopita baada ya kupata majeraha ya nyama za paja, lakini sasa daktari wa Simba, Edwin Kagabo amesema anahitaji wiki tatu tu kuungana na wenzake uwanjani


Kama kila kitu kinakwenda sawa, Manula anaweza kuiwahi mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya mabingwa mara 10 wa Afrika, Al Ahly ya Misri, Kwa Mkapa, Oktoba 20


Manula pamoja na kuanza mazoezi mepesi ya uwanjani, lakini tangu Julai alikuwa ameanza mazoezi binafsi ya gym huku akionekana kurejea haraka kuliko matarajioDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz