Kipa Mpya wa Simba aanza mazoezi - EDUSPORTSTZ

Latest

Kipa Mpya wa Simba aanza mazoezi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mlinda lango mpya wa Simba Ayoub Lakred tayari yuko kikosini akiendelea na mazoezi na wachezaji wenzake


Lakred alitua nchini Ijumaa iliyopita na siku ya Jumamosi alikuwa sehemu ya wachezaji waliopata nafasi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kipanga Fc


Wanasimba huenda wakaanza kumuona langoni katika mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Power Dynamos


Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Septemba 16 uwanja wa Levy Mwanawasa huko Zambia


Wakati Lakred akitua, mlinda lango namba moja Aishi Manula tayari ameanza mazoezi mepesi na pengine atakuwa tayari kurejea uwanjani katikati ya mwezi Oktoba


Manula anaweza kuwahi mchezo wa robo fainali Super Ligi dhidi ya Al Ahly ambao utapigwa Oktoba 20 na mchezo marudiano kupigwa Oktoba 24 huko Misri



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz