Ahmed Ally akosoa Yanga kuwapa mbinu Singida FG - EDUSPORTSTZ

Latest

Ahmed Ally akosoa Yanga kuwapa mbinu Singida FG

 Ahmed Ally akosoa Yanga kuwapa mbinu Singida FG

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amekosoa suala la Yanga SC kuwapa mbinu Singida FG kuelekea mchezo wao wa Kimataifa.


Ahmed amesema, badala ya Yanga kuwapa mbinu, wao ndio wanapaswa kuwapa mbinu wote wawili sababu wote ni wageni kwenye mashindano hayo makubwa.


"Wote ni wageni, sisi ndio tunawaambia watu vipi wacheze na nini wanatakiwa kufanya. Tutawaambia kwenye vikao vya umoja wa klabu, tutawaambia sisi si wachoyo na suala la kufanikiwa litabakia kwa wenyewe.


"Lazima tuwaambie kama klabu role model wa vilabu vingi Afrika Mashariki. Sisi ndio tuna mafanikio makubwa zaidi kwenye mashindano haya hivyo lazima tuwape mbinu wote wanaokuja," alisema Ahmed.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz