VIDEO: Kocha Mashujaa FC afungiwa msimu mzima 2023/24 - EDUSPORTSTZ

Latest

VIDEO: Kocha Mashujaa FC afungiwa msimu mzima 2023/24

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kocha wa magolikipa wa Mashujaa FC, Shomari Ndizi amefungiwa kushiriki michezo yote ya ligi na mashindano yote yaliyo chini ya TFF kwa msimu mzima wa 2023/2024 pamoja na faini ya TZS milioni 2 kwa kosa la kumpiga ngumi usoni kocha wa Mbeya City, Abdallah Mubiru.


Shomari alifanya kitendo hicho katika mchezo wa marudiano wa 'Playoff.' kati ya Mbeya City na Mashujaa uliopigwa Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya na Mashujaa kuibuka na ushindi wa bao 1-0.


Tazama tukio lilivyokuwa kwenye video hapa chini;Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz