Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Inter Milan wamekataa ofa ya euro million €15 kutoka Al Nassr ya Saudi Arabia kwa ajili ya kiungo Marcelo Brozovic.
Chanzo: [Sky Italia]
Juventus wamekubali kutoa ada ya euro million €6 kwa ajili ya kumsajili Arkadiusz Milik kwa mkataba wa kudumu kutoka Olympique Marseille.
Chanzo: [Sky Italia]
Benfica wamefikia makubaliano ya kumsajili tena winger Angel Di Maria kwa uhamisho wa huru kutoka Juventus.
Chanzo : [Fabrizio Romano]
Harry Kane anataka kujiunga na klabu ya Manchester United katika dirisha hili la majira ya kiangazi.
Mshambuliaji huyo anatumaini Tottenham Hotspur watakubali ofa ya pound million £80.
Chanzo : [Daily Mail]
Manchester City wako karibu kufikia makubaliano ya kibinafsi na beki wa kati Josko Gvardiol.
Bado wakobali na bei ya kuuza ya RB Leipzig ambao wanataraa kumbakiza beki huyo.
Chanzo : [Fabrizio Romano]
Fulham wameweka bei ya pound million £90 kwa timu ambayo inahitaji João Palhinha, wakati ambapo klabu ya West Ham United wanalenga kumsajili ili kuchukua nafasi ya Declan Rice.
Chanzo : [Daily Mail Sport]
Kyle Walker yupo katika mazungumzo juu ya mkataba mpya Manchester City, licha ya kocha Thomas Tuchel kumwihitaji pale Bayern Munich.
Chanzo : [MailSport]
Newcastle United wametoa ofa ya euro million €50 kwa kiungo wa klabu ya AC Milan Sandro Tonality.
Chelsea pia wanavutiwa na kiungo huyo wa kimataifa wa Italia.
Chanzo : [The Athletic FC]
Klabu ya Bournemouth ipo katika nafasi zuri ya kumsajili Justin Kluivert kutoka AS Roma kwa ada ya pound million £9.5m plus nyongeza ya £850k.
Chanzo : [Fabrizio Romano]
No comments:
Post a Comment