Ukraine yasema Shambulizi la Russia dhidi ya Mnara wa TV wa Kiev yasababisha vifo vya Watu Watano - EDUSPORTSTZ

Latest

Ukraine yasema Shambulizi la Russia dhidi ya Mnara wa TV wa Kiev yasababisha vifo vya Watu WatanoUkraine yasema shambulizi la Russia dhidi ya mnara wa TV wa Kiev yasababisha vifo vya watu watano_fororder_3
Idara ya utoaji wa huduma za dharura ya Ukraine imesema kwenye Facebook kuwa, watu watano wameuawa na wengine zaidi ya watano kujeruhiwa katika shambulizi la Russia dhidi ya mnara wa TV wa Kiev.

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ukraine imesema hapo awali kuwa uendeshaji wa vituo vya televisheni utakatizwa kutokana na mashambulizi hayo.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz