Master Jay "Diamond Platnumz Hajamsaidia Mtu ile ni Biashara Ndio Maana Kuna Contract sio Lazima Mtu Akuabudu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Master Jay "Diamond Platnumz Hajamsaidia Mtu ile ni Biashara Ndio Maana Kuna Contract sio Lazima Mtu Akuabudu"Maneno ya producer mkongwe nchini, @masterjtz juu ya kile kinachosemwa na watu kuwa alicho kifanya @diamondplatnumz kwa @harmonize_tz ni msaada.

Lakini pia namna Diamond ambavyo amekuwa akiona halipwi fadhila na Konde Boy.

Master J amedai anachofanya Diamond si msaada ila ni biashara ndio maaana waliandikiana contract ,na hata kqma ungekuwa msaada basi haimaanishi mtu aje kukuabudu.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz