Mwijaku "Najiuliza Paula Kaenda Kusomea Nini Nje ya NCHI Wakati Matokeo yake Tunayajua" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwijaku "Najiuliza Paula Kaenda Kusomea Nini Nje ya NCHI Wakati Matokeo yake Tunayajua"
Piga chini ile clip ya MAYOMBI, Siku ya Jana Alhamis (September 30), video clip iliyotrend kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na ya Paula Kajala ambayo inamuonyesha yuko Airport akienda nje ya nchi kwaajili ya kuanza masomo.

Hasa hii leo (oct 01) kwenye dawati la Zilizo Kiki,kipindi cha LEO TENA tokea mjengoni Clouds Fm,ile video clip imefika dawatini na kukutana na DC wa Insta, @mwijaku_01 ambaye anajiuliza Paula kaenda kusomea nini huko ughaibuni sababu matokeo yake hayafahi hata hapa nchini.

Mwijaku anadai kwa @soniamonalisa kila mmoja aliona matokeo yake na kaenda nje ya nchi kusoma na tukielewa kwa ufaulu wake ana nafasi ya kusoma huko, ila huyu Bogus (mburula) anaenda kusomea nini huko.?

Taifa linapata sifa kuwa kuna mamia ya watanzania wanaenda nje ya nchi kusoma ila mbona hawajawahi onekana kusaidia taifa kumbe aina ya watu wanaoenda nje ni ya akina Paula ambao hakuna kitu😁.

NB: neno Bogus limetajwa na DC mwenyewe😁🙌

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz