Adam Mchomvu Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kumpiga Mtama Emmanuel Mbasha "Ilibidi Iwe Hivyo Lasivyo Ingeniathiri" - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Adam Mchomvu Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Kumpiga Mtama Emmanuel Mbasha "Ilibidi Iwe Hivyo Lasivyo Ingeniathiri"
Kwenye Big Sunday Live ya Wasafi Tv, @adamchomvu amedai hafurahii kitendo cha kumpiga mtama,Emmanuel Mbasha ila ilibidi iwe vile.

Mchomvu anadai kauli ya kuambiwa ni nanii (bangi) ilimfanya ajam sana maana imemuathiri hadi leo,sababu Mbasha hajui namna gani ameharibu taswira yake kwa watu wengine waamini alichokiongea jambo ambalo si sahihi na ukizingatia yeye alitumia lugha nzuri tu kwake.

Download our blog’s APP from Google Playstore using the link here>>>

Mchomvu amedai kama hasingemshushia lile tama kwa hasira alizokuwa nazo ingemuathiri na angeshindwa hata kuongea kwenye Mic,so lile tukio lilipunguza hasira zake kwa yule jamaa.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz