Polisi wafungiliwa mashitaka ya mauaji Kenya - EDUSPORTSTZ

Latest

Polisi wafungiliwa mashitaka ya mauaji Kenya

Maafisa sita wa polisi nchini Kenya Alhamisi wamefunguliwa mashitaka ya mauaji kutokana na vifo vya ndugu wawili wakati wakiwa kizuizini kwa tuhuma za kukiuka amri ya kutotoka nje kutokana na Covid.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz