Kikwete aeleza sababu iliyomfanya kuhudhuria mkutano mkuu wa Yanga leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kikwete aeleza sababu iliyomfanya kuhudhuria mkutano mkuu wa Yanga leo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amesema moja ya sababu iliyomfanya kuhudhuria mkutano wa leo ni baada ya kuona ajenda za mkutano mkuu, zimekaa kisomi na kisasa na zinazoonyesha tulipo na tunapokwenda.
 
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz