Nilivyofanikiwa Kupata Nafasi ya Kusoma Nje ya Nchi Baada ya Kukosa Scholarship Mara Nyingi

 

Kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kusoma nje ya nchi. Nilikuwa na imani kubwa kwamba elimu hiyo ingenifungulia milango ya maisha bora. 

Lakini kila nilipojaribu kuomba scholarship, nilikumbana na kukataliwa. Mara ya kwanza nilisema labda sikuwa nimejiandaa vizuri, nikajaribu tena, lakini bado matokeo yalikuwa yale yale.

Nilianza kuboresha kila kitu maombi yangu, vyeti, na hata jinsi nilivyoandika barua za maombi. Lakini bado nilikuwa napata majibu ya kukataliwa. Ilianza kuniumiza sana na kunifanya nijiulize kama kweli ndoto yangu ilikuwa inawezekana.

Kadri muda ulivyoenda, ndivyo nilivyozidi kukata tamaa. Niliona wenzangu wakipata nafasi hizo nilizokuwa naitamani, huku mimi nikibaki nyuma. Hali hiyo ilianza kunipunguzia hamasa ya kuendelea kujaribu.SOMA ZAIDI..

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post