Kijana mchunga ng’ombe alivyotajirika baada ya kupata nguvu za kiroho


 Zablon alizaliwa katika kijiji kidogo huko Tarime, familia yake ikiwa maskini sana. Baba yake alikuwa mkulima wa kawaida na mama yake alijishughulisha na kuuza mboga sokoni. Hali ya maisha ilikuwa ngumu kiasi kwamba mara nyingi Zablon na ndugu zake walilala njaa. Kwa sababu ya ukosefu wa fedha, hakufanikiwa kuendelea na masomo baada ya kumaliza darasa la saba.

Baba yake alimkabidhi jukumu la kuchunga ng’ombe wa familia. Kila siku asubuhi, Zablon aliamka mapema na kuwapeleka ng’ombe malishoni. Ingawa alikuwa na miaka michache tu, alihisi maisha yake hayakuwa na matumaini makubwa. Wakati wenzake wakisonga mbele na masomo au kufanya kazi mijini, yeye alibaki shambani akihangaika na mifugo. Mara nyingi alijiuliza: “Hivi mimi nitabaki hivi maisha yangu yote? Je, hakuna siku nitabadili maisha yangu?”

Kadri miaka ilivyozidi kusonga, Zablon alianza kuota ndoto ya kujiajiri. Alitamani kuanzisha biashara ndogo ili angalau ajikomboe kwenye umasikini. Alianza kuuza maziwa kidogo aliyopata kutoka kwa ng’ombe wake. Ingawa faida ilikuwa ndogo, moyo wake wa kujituma ulimfanya aamini siku moja mambo yangekuwa mazuri zaidi. Baada ya muda aliamua kuuza baadhi ya ndama ili kupata mtaji wa kuanzisha biashara ya kuuza nafaka sokoni. Soma zaidi hapa 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post