Mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC, Yanga leo wanashuka tena uwanjani wakimenyana na Namungo Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Majaliwa, Ruangwa
Mechi muhimu kwa Yanga kuzisaka alama tatu ili kurejesha matumaini baada ya mfululizo wa matokeo mabaya
Usikose kuitazama mechi hii Live buree kupitia simu yako download App yetu ili kutazama mechi hii pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv mfano Azam two, Sinema zetu na nyingine nyingi
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee
Post a Comment