Hawa hapa wachezaji ambao tayari simba imekamilisha usajili wao - EDUSPORTSTZ

Latest

Hawa hapa wachezaji ambao tayari simba imekamilisha usajili wao

 Ni SPAIN vs CROATIA, ITAL vs ALBANIA na HUNGARY vs NETHERLAND leo michuano ya EURO 2024 usikose kuzitazama mechi hizi zote live bure kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayokuwezesha kuzitazama mechi zote buree pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv buree bofya sasa

Klabu ya Simba inatajwa kukamilisha usajili wa nyota wa kwanza wa kigeni, winga Joshua Mutale kutoka klabu ya Power Dynamos ya Zambia

Simba ilituma maafisa wake nchini Zambia kwa ajili ya kukamilisha usajili huo wa winga huyo kinda mwenye umri wa miaka 22 tu

Mutale anakuwa mchezaji wa kwanza wa kigeni kusajiliwa na Simba katika dirisha hili la usajili ambalo limefunguliwa rasmi leo

Aidha taarifa za ndani zimethibitisha kuwa Simba pia imeshakamilisha usajili wa wachezaji wawili wa ndani beki Lameck Lawi kutoka Coastal Union na kiungo Yusuph Kagoma kutoka klabu ya Singida Fountain Gate ambayo kuanzia msimu ujao itafahamika kama Fountain Gate

Usajili wa Simba msimu huu unafanyika chini ya uangalizi wa tajiri mwenyewe, Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' aliyerejea katika nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba

BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA UJIFUNZE MAUTUNDU YA KITANDANIDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz