Ni Dabi ya Yanga na Simba wanawake leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Ni Dabi ya Yanga na Simba wanawake leo

Ni Dabi ya Yanga na Simba wanawake leo

Usikose kuitazama mechi hii live bure kupitia simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayorusha mechi hii live bureeee kabisa

Ni Kariakoo Derby katika Ligi Kuu ya Wanawake leo Alhamisi Saa 10:00 jioni, Yanga Princess kuwakaribisha Simba Queens katika dimba la Azam Complex.

Ni Kariakoo Derby katika Ligi Kuu ya Wanawake leo Alhamisi Saa 10:00 jioni, Yanga Princess kuwakaribisha Simba Queens katika dimba la Azam Complex. Katika mechi ya mzunguko wa kwanza Simba Queens waliibuka na ushindi. Je, ni Simba Queens tena ama Yanga Princess kulipa kisasi? Tusubiri.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz