Breaking: Nickson Kibabage atua Yanga atambulishwa Rasmi - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Nickson Kibabage atua Yanga atambulishwa Rasmi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Ni rasmi, Yanga imetangaza usajili wa kiungo mshambuliaji Nickson Kibabage kutoka klabu ya Singida Fountain Gate

Kibabage ambaye pia anamudu kucheza nafasi ya beki wa kushoto na winga, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga

Kibabage atajumuishwa kwenye kikosi cha Yanga kitakachosafiri kwenda Malawi kwa ajili ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bullets Julai 06 katika maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa MalawiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz