Mgunda agomea msamaha wa Ally Kamwe - EDUSPORTSTZ

Latest

Mgunda agomea msamaha wa Ally Kamwe

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kocha msaidizi wa Timu ya Simba Juma Ramadhan Mgumda amesema kuwa yeye Hawezi kupokea msamaha wa Afisa Habari wa Yanga Alikamwe aliomuomba Kupitia Mtandao ya Kijamii Kwa sababu yeye sio mtu wa Mitandao, amemwambia Alikamwe amfate anapokaa.


Kocha msaidizi wa Timu ya Simba Juma Ramadhan Mgumda amesema kuwa yeye Hawezi kupokea msamaha wa Afisa Habari wa Yanga Alikamwe aliomuomba Kupitia Mtandao ya Kijamii Kwa sababu yeye sio mtu wa Mitandao, amemwambia Alikamwe amfate anapokaa. Kamwe alimfananisha Juma Mgunda na andazi wakati akihamasisha mashabiki wa Yanga katika viwanja vya Mbagala Zakhem wajitokeze kwenye mchezo wao wa fainali ya CAFCC dhidi ya USM Alger utakaopigwa kesho katika Dimba la Mkapa.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz