Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mashambuliaji wa klabu ya Yanga, Raia wa Congo DR Fiston Mayele amechaguliwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania goli bora la wiki Kombe la Shirikisho la CAF
Ni bao la pili alilofunga kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir ambao Wananchi waliibuka kwa ushindi wa mabao 2-0
Mayele anachuana na Kamissoko wa Real Bamako aliyefunga bao katika mchezo dhidi ya TP Mazembe na Nakouho wa DC Motema Pembe aliyefunga katika mchezo dhidi ya Asec Mimosas
No comments:
Post a Comment