Watano nje Yanga ikivaa Ihefu January 16 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

Watano nje Yanga ikivaa Ihefu January 16 2023

Watano nje Yanga ikivaa Ihefu January 16 2023

Watano nje Yanga ikivaa Ihefu January 16 2023

Watano nje Yanga ikivaa Ihefu January 16 2023

Watano nje Yanga ikivaa Ihefu January 16 2023

Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga SC, Cedric Kaze kupitia Mkutano na Wanahabari uliofanyika Makao Makuu ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) leo amethibitisha kuikosa huduma ya wachezaji wake watano

Kaze akizungumzia mchezo wa kesho dhidi ya Ihefu utakaopigwa kuanzia saa 12:30 Jioni amewataja wachezaji hao kuwa ni; Stephen Aziz Ki, Yannick Bangala, Bernard Morrison, Zawadi Mauya na Abutwalib Mshery.

Kaze amesema kuwa wachezaji hao wataukosa mchezo huo kutokana na sababu ambazo hazikuwekwa wazi.

Mchezo huo wa raundi ya 20 kwa timu zote utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post Watano nje Yanga ikivaa Ihefu January 16 2023 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz