PICHA: Mbunge Jerry Slaa afika bungeni Kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Maadili - EDUSPORTSTZ

Latest

PICHA: Mbunge Jerry Slaa afika bungeni Kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Maadili


Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mhe. Jerry Slaa amewasili katika viwanja vya Bunge kuitikia wito wa Spika Ndugai uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma  zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz