MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA ND0A - EDUSPORTSTZ

Latest

MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA ND0A

Pata GB 10 Mtinadao yote BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 UTAMUZAIDIAPP

Ungana na abuuja kupitia darsa hii

🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸
*Labda kwa wale wasiofahamu niwaambie tu kwamba dhana ya mapenzi ni dhana yenye wigo mpana sana na ndiyo maana hutasikia hata siku moja tumepumzika kuizungumzia*

🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸
*Hata hivyo,tunachofanya Sikh zote ni kukimbushana kwa Yale tunayaoyafahamu na kushauriana kwa pale tunapohisi wengi hufanya makosa.baada ya kusema hayo sasa nigeukie mada yangu ya Leo ambayo yahawahusu wanandoa ,nazungumzia wanandoa wanatakiwa kuyafanya Mara baada kumaliza KUFANYA tendon LA ndoa*...........
🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸
1) *Baada ya kubaini kuwa wengi wamekuwa wakifanya makosa na kujikuta wakishamaliza kufanya tendo hilo ,kila mmoja anageukia kwake kisha kuuchapa usingizi.wacha nkujuze haya nitayoyaeleza ila yakifanywa huwa na manufaa yake na yataboresha ndoa yenu..........
🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸
2) *Ku0ga pamoja mtakuwa ni watu wa ajabu kama mtamaliza kufanya tendo hilo kisha kila mmoja kalala na majasho yake.wapo wasiojali katka hili na kuona kuoga au kutooga ni uamuzi qa mtu,elewa kwamba hii si tabia nzuri na dini pia hairuhusu kukaa na josho ,wapo wanawake ambao wakishamaliza hukimbilia kuwaandalia maji wenza wao ,wakishaoga ndio nawo huenda kuoga ,hii so tabia nzuri haswa watakiwa u0ge na mwenzi wako hiyo ndio raha ya ndoa*


🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸
🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷
Wanaofanya hivyo wanajua raha yake na wewe ambaye hujawahi anza Leo,uone raha yake......
*Mupoo au naongea mwenyewe*
🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸
🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸
```Mkimaliza mambo yenu chukuaneni kimahabba ,elekeeni bafuni kisha ogeshaneni kimahabba .Baada hapo rudini chumbani,mkishijfuta maji ,kitandani nkiwa wapesi ,halaf muanze kusifiana kubembelezana.```
🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸
3) *Na pia hakuna mdaa maalum uliotengwa kwa ajili ya wanandoa kusifiana ,hilo linaweza kufanyika wakati wowote lakini pale mnapomaliza kufanya tendo LA ndoa ni lazima utakuwa na jambo zuri LA kumwambia mwenza wako*
🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷
```Msifie kwa utundu na ubunifu wake,msifie pia kwa mapenzi matamu anayokupa na ikibidi MPE sifa ya uzuri wake kiasi cha kukufanya kila unapokuwa karibu yake ujiskie amani ya kupitiliza ,wapo ambao hawana kabsa tabia ya kusifiana wala kuwashukuru wenza wao kwa mazuri wanayofanyiwa ,yaan wao wanachukulia kila kitu poa hawajuwi kwamba kusifiana kunanogesha mambo,elewa kwamba kusifiana kunazidisha mood ktk mapenzi```
🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷
```Na pia kuelekezana kwenye kale kamchezo,wapo ambao wanakosea ,kuelekezanana kukosoana kwa wanandoa ni jambo la kawaida kuelezekana ,yawezakana mwenza wako alifanya kitu ambacho hakikukufurahisha wakati mkiendelea na burudani yenu,mnapomaliza mwambie lakini kwa lugha ya Jonah Abba na ya upole ,naamini kwa kufanya hivyo atakuelewa na kubadilika.```
🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸
4) *Zungumzieni maisha huu ni wakati muafaka wa kujadili changamoto na malengo ktk maisha yenu. Hapa akili zinakuwa zimetulia na kila mmoja anakuwa na mawazo changa kwa mweza wake,jadilini mambo yenu ,wekeni mikakati ya kuboresha ndoa yenu na maisha yenu kwa ujumla..........hayo ni mambo ambayo mkifayafanya mnapomaliza kufanya tendo LA ndoa daima ndoa yenu itakuwa imaraa na mtadumu daima dawamu*
```MWISHO WA DARASA LETU MILIKUWA Brayton Official Love 
+255658247651
🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸🌷🌸


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz