USHINDI WA MWANAMKE NI KUMVUTIA MWANAUME ALIYEMFAHAMU NA KUSHIRIKI NAE KWANI HUYO ATAKUWA NA WALAU ASILIMIA YA UPENDO KULIKO ANAYEKUONA KWA MARA YA KWANZA💯 - EDUSPORTSTZ

Latest

USHINDI WA MWANAMKE NI KUMVUTIA MWANAUME ALIYEMFAHAMU NA KUSHIRIKI NAE KWANI HUYO ATAKUWA NA WALAU ASILIMIA YA UPENDO KULIKO ANAYEKUONA KWA MARA YA KWANZA💯

utamuzaidiapp
Mwanaume yeyote anaweza kuvutiwa nawe hata ukajiona BABU KUBWA kumbe ni tamaa na imagination za maumbile yako na Moyoni wala hajakuweka😂😂
Wanawake wengi mnaangamia kwa kujiona CAKE 🍰 kisa tu wanaume wengi wanaimba UPENDO dhidi yenu hilo ni PEPO💯
Kama kweli unao mvuto basi MVUTIE ALIYEKUFAHAMU KABLA na sio kujidai kisa kila unakopita wanakuangalia Muda mwingine umepauka wanakushangaaa😎 halafu usivyo mtambuzi unajiona CLEOPATRA🤳
Jiulize swali hili;
👉🏼 ULIWAHI KUONA WAPI CHIZI WAKIUME ANABAKWA😂
Sasa kinachokupa kiburi ni nini ikiwa hata Maria Yule anashinda jalalani anawavutia wanaume na pesa zao hata wakawazia watampata lini😂😂😂
Mwanaume mpya asikutishe rafiki yangu, Tishika na Mwanaume aliyekukula 👙 na bado akikuona anaweweseka, Mwanaume ni kama CHIZI kila aonapo jalala jipya nywele zinamsimama anajikuna😇
Ndo maana kwa sasa wanaume imekuwa rahisi sana kuwapata kuliko zamani kwani mmeshindwa kuvumilia hali za hisia zenu hata mnajipitisha Pitisha mpate mwanaume wa kusema neno SHENZI KABISAAAA😭😭
Tulia na wako mmoja, Mbebee madhaifu na ujitahidi kuzilinda hasira zako ili UMTIII ndipo utaona ilivyo rahisi kumkamata Mwanaume wako kuliko kulingia wanaokuona kwa mara ya kwanza
Jiulize hajakukula ajue ukoje maneno kibao ila ukimpa tu niamini HUNA JIPYA NGW’ANA WANHE😂😂




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz