VITU NANE VYA KIPUMBAVU AMBAVYO WADADA HUFANYA KATIKA MAPENZI - EDUSPORTSTZ

Latest

VITU NANE VYA KIPUMBAVU AMBAVYO WADADA HUFANYA KATIKA MAPENZI
1.kuishi na mwanaume ambaye hajakutolea mahali au kukuoa,,hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe,,usiwe mjinga.
2.kukubali kuwa mke wa pili,,samahani sana kwa wale nitakaogusa imani zao.
3.kuvaa Pete ya uchumba ya mwanaume ambae hata kwenu hapajui,,na pengine hata wazazi wako hawajui.
4.kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picha wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo.
5.kumpa thamani yako pride(bikira)mwanaume ambae hajatoa pesa ya mahali.
6.kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambae si mume wako.
7.kutokumuheshimu mzazi wako kwasababu tu ya mwanaume ambaye wazazi wako hawamjui.
8.kumpa mwanaume sex kirahisi kwasababu tu amekuambia tu atakuoa.
JITAMBUE!!
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz