KATIKA MECHI YA IJUMAA HII ARSENAL ITAMKOSA MSHAMBULIAJI HUYU - EDUSPORTSTZ

Latest

KATIKA MECHI YA IJUMAA HII ARSENAL ITAMKOSA MSHAMBULIAJI HUYU


Arsenal kulipiza kisasi dhidi ya Liverpool

Dakika 15 zilizopita

Sambaza habari hii Facebook
Sambaza habari hii Twitter
Sambaza habari hii Messenger
Sambaza habari hii Email
Mshirikishe mwenzako
Kiungo wa kati wa Liverpool Phillipe Coutinho ni moto wa kuotea mbali katika lango la Arsenal

Mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud atakosa mechi ya Ijumaa pamoja na mechi kadhaa za wakati wa likizo kutokana na jeraha la nyuma ya goti.

Francis Coquelin huenda huenda akashiriki katika mechi hiyo licha ya kuguchia katika mechi ya ushindi wa kombe la Carabao huku Shkrodan Mustafi akitarajiwa kushirikishwa baada ya jeraha la nyonga.

LIverpool nayo itamkaribisha tena Emre Can baada ya kuhudumia marufuku, lakini daniel Sturidge na Joel Matipi hawajulikani iwapo watashiriki.Alberto Moreno bado anauguza jeraha la kifundo cha mguu.

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger: "unapokuwa na kazi ya ukufunzi kwa muda mrefu kuna mechi ulizoshindwa amabzo zinakuumiza roho kwa miaka maisha yako yote.

''Unapoweza kurekebisha , jaribu. Kwa hivyo wacha tugange yanjayo na kujitokeza siku ya Ijumaa na mchezo mzuri tofauti''.Beki wa Arsenal Shkrodan Mustafi huenda akashiriki katika mechi hiyo baada ya kupata jeraha

Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp: "sidhani kama kutakuwa na mabao mengi tena, lakini tuanenda Arsenal kucheza na kupata mengi ya tunavyoweza.

''Naju ni vigumu lakini ninaamini kwamba wakati huu linawezekana''.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz