BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Showing posts with label others. Show all posts

Monday, 22 January 2018

22 January

GOODNEWS: MOSHI POULTRY YA SHUSHA NEEMA KWA WAFUGAJI NA WANUNUZI WA KUKU NCHINI

Moshi Poultry na wataalamu wa kutotoresha vifaranga vya kuku wanakuretea fursa na huduma safi na makini ya ufugaji kuku wa kisasa na kienyeji pamoja na ngwiji mahiri katika huduma ya utotoreshaji wa vifaranga.

Moshi Poultry imeyapokea maoni na ushauri wa wateja juu ya utoaji wa huduma zao mikoani na kuweka bei ambazo kila mfugajia anaweza kuzimudu na kutengeneza faida.

Hivyo basi moshi poultry inapenda kuwa taarifu watanzania na wafanya biashara wa kuku kuwa kwa sasa bei na huduma zao kwa sasa nikama ifuatavyo;

 Unakaribishwa saana!!!!

vifaranga wa kienyeji,Na chotara kama Malawi,Kuroila,Na saso!
Bei  nikama ifua tavyo....

1.siku moja ni 2200/=
2.Wiki moja 2500/=
3.wiki mbili 3000/=
4.wiki tatu 4000/=
5.mwezi 5000/=
Pia kwa waitaji wa kuku wakubwa usisite kuwasiliana nao ili kupewa taarifa kamili.

BIASHARA NI WEWE, KARIBU TUIJENGE NCHI YETU, WEWE KWETU NI MFALUME

Karibuni  sana offer pia ya bei itapungua kulingana na idadi ya maitaji yako, kwetu mteja ni mfalume.

Timiza ndoto zako sasa,kuku wetu pia wamepatiwa matibabu na wataalamu wa maswara ya mifugo.

Note Kwateja wa moshi Na arusha utaletewa ulipo ukichukua kuanzia kuku au vifaranga 100. Na kwa Wateja wa mikoani unalipia usafirishaji na jukumu letu ni kuhakikisha mzigo unakufikia.

KIKUBWA ZAIDI, wanatoa pia ushauri wa chanjo Na namna  yakutengeneza mabanda ufugaji nq huduma safi kwa kuku.

Wapo  moshi uru Na shanti town.🐣🐥
Contacts
Moshi Poultry
0754469193.....0719081615
E-mail paulskawa@gmail.com
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:

Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ
22 January

LIGI DARAJA LA KWANZA YAJA NA MVUTO USIO KIFANINDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
22 January

WATU SITA WAUAWA KWENYE MAANDAMANO DRCNDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
22 January

MAGAZETI YA JUMATATU YA LEO YA TAREHE 22.1.2018

.

NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Sunday, 21 January 2018

21 January

SHAMBULIO LA HOTEL LASABABISHA VIFO VYA WATU 14

Intercontinental ni mojawapo ya majengo makuu ya mji wa Kabul.

Shahidi mmoja ameielezea BBC aliyoshuhudia katika mkasa wa kuogofya wakati wanaume waliojihami kwa bunduki walipoivamia hoteli ya Intercontinental siku ya Jumamosi.

Mwanamume huyo ambaye hakutajwa jina kutokana na sababu za kiusalama, amesema aliponea shambulio hilo baada ya kusema kuwa yeye ni raia wa Afghanistan. "Wako wapi wageni?" walipiga kelele wakiuliza.

Raia 14 wa nchi za kigeni wamethibitishwa kuuawa pamoja na wanne wa Afghanistan.

Waziri wa mambo ya ndani amesema uamzui wa kukabidhi usalama kwa kampuni ya kibinfasi ulikuwa makosa.

Ni ishara ya hivi karibuni ya ghasia zinazoendelea kushudiwa nchini Afghanistan.

Usiku kucha, vikosi maalum vilipambana kuidhibiti hoteli hiyo.
Zaidi ya watu 150, wakiwemo wageni, walikuwemo ndani ya hoteli hiyo Jumamosi jioni wakati washambuliaji waliojihami kwa bunduki walipoivamia hoteli hiyo na kuanza kufyetuwa risasi.

Televisheni nchini humo zimewaonyesha wageni wakishuka kutoka orofani kwa kutumia matandiko, waliyoyafunga kwenye roshani na kukwepa.Picha ya maktaba: The Intercontinental Hotel, picha iliyopigwa Januari 2016

Moshi mkubwa ulitanda usiku angani, ikiwa ni baada ya sehemu ya jengo hilo kuteketezwa moto.

Hoteli hiyo ya Intercontinental ni mojawapo ya majengo makuu ya mji wa Kabul.

Hutumika sana na wageni wa nchi za nje, wanasiasa nchini, hutumika pia kuandaa shrehe za harusi na mikutano.

Ni eneo la wazi linaloweza kulengwa na wanamgambo na lilishambuliwana wapiganaji wa Taliban miaka 7 iliyopita.Image captionRamani ya Afghanistan

Lakini shambulio hili la sasa lililodumu kwa muda mrefu na linaloonekana kuwa gumu, linajiri katika wakati ambapo kuna ongezeko la wasiwasi kuhusu kudorora kwa usalama katika mji mkuu huo, na litazusha maswali kuhusu vipi usalama wa kivitengo katika hoteli hiyo ulivyoweza kuvukwa.
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:

Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ
21 January

AZAM WAMSHUSHA SIMBA KILELENI RASMI
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
21 January

SIMBA WAMEANZA KUFANYA HAYA WAKIWA KAGERA

Image result for simba sport club

NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
21 January

KIKOSICHA YANGA DHIDI YA RUVU LEOImage result for yanga
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Saturday, 20 January 2018

20 January

MAMBO 7 YAKUZINGATIA ILIKUISHI MIAKA MINGI ZAIDI DUNIANI

 maisha marefu duniani

NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Thursday, 18 January 2018

18 January

AJIRA KUTOKA LAND MARK HOTELJob Opportunity at Landmark Hotel Limited, Hotel Manager

NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
18 January

SOMA ALICHOPOST DIAMOND PLATINUMZ

NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.
18 January

NEYMAR AZOMEWA KISA HIKI HAPA