EDUSPORTSTZ : News

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA

Showing posts with label News. Show all posts
Showing posts with label News. Show all posts

Thursday, 7 June 2018

07 June

BADNWES; HII HAPA TAARIFA YA KIFO CHA MSANII SAM WA UKWELI KILICHOTOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO JUNE 7, 2018

Sam, alitamba na vibao vyake kama, ‘Lonely’, ‘Usiniache’, ‘Sina Raha’, ‘Hata Kwetu Wapo’ na nyinginezo ambazo zilimtambulisha na kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva.
Sam wa ukweli

Msanii Sam wa ukweli hatunaye tena duniani ,amefariki usiku huu hospitali ya palestina iliyopo Sinza

Mwili wa Sam umepelekwa hospitali ya Mwananyamala kuhifadhiwa.

Sam, alitamba na vibao vyake kama, ‘Lonely’, ‘Usiniache’, ‘Sina Raha’, ‘Hata Kwetu Wapo’ na nyinginezo ambazo zilimtambulisha na kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva.


Msanii wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 6, 2018 baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala.

Taarifa hiyo imethibitishwa na msambazaji wa nyimbo zake na Meneja wa ‘Team Mtaa kwa Mtaa’, Amri the Business ambaye aneeleza kwa masikitiko makubwa kuwa Sam amefariki dunia na kumtakia kupumzika kwa amani.

“Siamini kilichotokea muda huu ila sina jinsi, kwani woote safari ni moja, pumzika kwa amani Sam wa Ukweli, hakika nilikupenda kama ndugu yangu wakuzaliwa tumbo moja, #rip” amesema Amri the Business.
Pia, aliyekuwa mtayarishaji wa nyimbo za Sam wa Ukweli, Steve amesema Sam alikuwa akiumwa na walipomuuliza alisema ni UKIMWI wa kulogwa.

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ
07 June

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI YA TAREHE 7 JUNE 2018


Kama kawaida Edusportstz tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania alhamisi ya leo JUNE 7/2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

Tuesday, 5 June 2018

05 June

MAGAZETINI; AHADI YA JPM YAITESA SERIKALI, SIMBA YAANZA SAFARI EVERTON

Kama kawaida Edusportstz tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania jumanne ya leo JUNE 5/2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.