BREAKING

Search here

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Showing posts with label Lesson. Show all posts
Showing posts with label Lesson. Show all posts

Saturday, 24 March 2018

24 March

UFAFANUZI WA SERIKALI JUU YA UKOSEAJI WA UMRI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANONaibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria Semakafu 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria Semakafu amefunguka na kuweka wazi utata ulioibuka kuhusu kigezo cha umri wa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na sita na kusema taarifa ambayo inasambaa imekuwa na makosa.

Semakafu amesema kuwa yametokea makosa ya kiuandishi ila kujiunga na masomo ya kidato cha tano na sita ni miaka 25 na siyo miaka 20 kama ambavyo inasomekana katika taarifa aliyotolewa mapema leo.

"Kumetokea makosa ya kiandishi, miaka ni 25 ya kujiunga sekondari na sio 20 kama ambavyo inasomeka kwenye ile karatasi" alisema 
Semakafu

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. 

Enter your email address:

Delivered by EDUSPORTSTZ


Subscribe to EDUSPORTSTZ

Saturday, 10 March 2018

10 March

SABABU ZILIZOMFANYA MZEE SUGUTA (MIAKA 79) ALIYEKUA DARASA LA KWANZA KUACHA SHULE


Mzee suguta akiwa darasani

NDOTO ya elimu ya Mzee Nyamohanga Suguta mwenye umri wa Miaka 79 ambaye mwaka jana alianza masomo ya darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Makerero wilayani Tarime Mkoani Mara imeshindwa kufanikiwa baada ya Mzee huyo kuacha shule akisema haelewi masomo yake.

Kwa mujibu wa Kaimu Afisa Elimu wa Wilaya ya Tarime amesema kuwa, Mzee Suguta hakusatahili kusoma darasa moja na wanafunzi aliyokuwa nao ambao ni watoto.Akizungumza, Makamu Mkuu wa Shule hiyo, Kennedy Wayoga amesema;

“Mzee Suguta alianza kukacha masomo baada ya kutengwa na wanafunzi wenzake, mwanzoni alikuwa anafurahia kusoma nao kwani walikuwa wanamsaidia kujifunza vitu ambavyo havifahamu ama hajaelewa darasani, hivyo alitengwa ili awe anakuja jioni baada ya muda wa masomo ya kawaida, kuanzia pale akakacha.“Kusoma alikuwa hajajua vizuri, lakini kuandika na kuhesabu alikuwa ameshajua vyema kabisa,” alisema Mwalimu Kennedy.


Msikie Mzee Suguta;

“Kwa kweli naona kichwa changu kimekuwa kizito, kila nikiandika naona nashindwa. Hata mwalimu akinielekeza, nikitoka kidogo nikija kurudi nasahau tena.”
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

Wednesday, 24 January 2018

Tuesday, 23 January 2018

23 January

MANENO MUHIMU 5 AMBAYO HUPASWI KUMWAMBIA MPENZI WAKO ILI KUDUMU KATIKA MAHUSIANO

Saturday, 20 January 2018

20 January

MAMBO 7 YAKUZINGATIA ILIKUISHI MIAKA MINGI ZAIDI DUNIANI


 maisha marefu duniani

NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Friday, 19 January 2018

Thursday, 18 January 2018

18 January

HIKI NDIO KISA KILICHO WAFUKUZISHA KAZI WALIMU 28 ZANZIBARNDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

Wednesday, 17 January 2018

Tuesday, 2 January 2018

Saturday, 23 December 2017

23 December

MAJINA YA WALIMU AJIRA MPYA

BOFYA HAPA KUONA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA NGAZI YA PRIMARY

KWA WALIMU WA SEKONDARI BOFYA HAPA

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno

Friday, 22 December 2017

22 December

USICHOKIJUA KUHUSU FAIDA ZA KUTUMIA JUISI YA KAROTI


Mchanganyiko huo pia hutumika kama kinga dhidi ya saratani, matumizi ya juisi ya karoti yenye mchanganyiko wa tangawizi husaidia kuukinga mwili dhidi ya matatizo ya saratani za aina mbalimbali kwani husaidia kuua seli zinazoweza kuchangia matatizo ya saratani.

Sunday, 19 November 2017

19 November

MAAJABU; NDEGE YA MAREKANI YACHORA NYETI ZA MWANAUME ANGANI NDEGE ILIYOCHORA NYETI
Maafisa wa jeshi la wanamaji wamesema kwamba haikubaliki kwamba mmoja wa marubani wake alitumia ndege moja ya kijeshi kuchora uume wa mwanadamu angani.

Mchoro huo uliokuwa katika kaunti ya Okanogan magharibi wa jimbo la Washington nchini Marekani ulizua hisia nyingi katika mitandao ya kijamii.

Saturday, 4 November 2017

04 November

WALIOPATA MIKOPO AWAMU YA TATU KUTOKA BODI YA MIKOPO


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya Awamu ya Tatu ya wanafunzi 7,901 wa Mwaka wa Kwanzawaliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo hadi sasa kufikia 29,578.

Wednesday, 1 November 2017