Kocha JKT Tanzania Afunguka Sababu za Mwanzo Mbaya Ligi Kuu Bara

MWANZO wa kusuasua wa kikosi cha JKT Tanzania katika msimu mpya wa Ligi Kuu Bara umemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Ahmad Ally, kuweka wazi mambo mazito yanayowarudisha nyuma, huku akitaja ugumu wa ratiba kuwa mtihani mkubwa zaidi. JKT Tanzania imeanza msimu kwa kusuasua ikikusanya pointi 4 pekee kati ya 12 katika michezo yake nne […]

The post Kocha JKT Tanzania Afunguka Sababu za Mwanzo Mbaya Ligi Kuu Bara appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/fjip5uK
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post