LONDON, ENGLAND: Maisha katika ligi kuu za soka barani Ulaya yameshaanza upya, na kila timu ipo kwenye vita kali ya kuwania ufalme. Baada ya kupitia kipindi kigumu msimu uliopita kutokana na majeraha, kuporomoka kwa viwango au changamoto za kiumri, baadhi ya wachezaji mafundi wa Ligi Kuu England (EPL) wameanza msimu wa 2026/27 kwa kasi kubwa […]
The post Wachezaji 6 EPL Wanaorejea kwa Kasi Msimu wa 2026/27 appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/JisCzLu
via IFTTT
Post a Comment